Masaibu ya Joho

 

Masaibu ya Gavana wa Mombasa Ali Hassan Joho sasa yanaonekana kana kwamba yanaelekezwa mahakamani. Joho anakisiwa kukabiliwa na mashtaka ya kughushi stakabadhi na kuwasilisha stakabadhi ghushi . Gavana Joho alihojiwa na maafisa wa upelelezi wa jinai kwa saa mbili.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories