Masharti kwa wanaotaka kununua unga huko Eldoret
Published on: June 13, 2017 10:48 (EAT)
Serikali imeanza mpango wa kusambaza mahindi katika kaunti ya Uasin Gishu katika hatua ambayo itawezesha wasaga mahindi eneo hilo kuendelea na biashara. Hata hivyo wenyeji wamepigwa na butwaa baada ya kujulishwa kuhusu masharti kabla ya kununua mahindi hayo.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment