Mashirika yaahidi kuajiri wauguzi wachache

Ni afueni kwa wagonjwa japo kwa kipindi kidogo, baada ya mashirika yasiyo ya kiserikali kuahidi kukwamua gurudumu la mgomo wa wauguzi. Mkurugenzi wa shirika la msalaba mwekundu nchini Abass Gullet anaeleza kuwa wanajaribu kupunguza maafa ambayo yatakabili taifa hili siku za usoni iwapo watoto hawatapata chanjo muhimu.

Tags:

Red Cross . Nurses strike Abbas Gullet

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories