Masomo yatatizwa vyuo vikuu vya umma

Wahadhiri katika vyuo vikuu nchini wameendeleza mgomo wao kwa siku ya pili hii leo huku wakiandamana katika sehemu tofauti nchini kwenye juhudi zao za kudhihirisha ghadhabu yao. Na katika kaunti ya Kirinyaga, mgombea ugavana Martha Karua amelazimika kukatiza hotuba yake ili kumsaidia mama mjamzito aliyepata uchungu wa uzazi mkutanoni.

Tags:

lecturers'strike Muga Kogalo

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories