Matatizo ya tezi
Published on: July 15, 2017 08:32 (EAT)
Audio By Vocalize
Ukiambiwa pima unauliza nini, ukiambiwa fanyiwa uchunguzi wa afya yako mara kwa mara unasema uko sawa. Jackline Shibalira ni mmoja wa wale wanaosisitiza umuhimu wa kupimwa kwa sababu yeye aliugua maradhi ya tezi na kutibiwa magonjwa ambayo hayakuwepo, hivi sasa anafanya uhamasisho wa kuhakikisha watu wanapimwa mara kwa mara kujua iwapo wanaugua ndiposa wapate matibabu mapema.


Leave a Comment