Matiang’i Ahojiwa

Kamati ya Seneti kuhusu sheria na haki za binadam inaishinikiza halmashauri ya mawasiliano nchini na waziri wa habari kutatua mtafaruku wa kuhamia katika mfumo wa  dijitali ili haki ya wananchi kupata habari isihujumiwe. Maseneta hao wamemhoji waziri wa mawasiliano Fred Matiang’i na mkurugenzi mkuu wa halamshauri ya masaliano nchini Francis Wangusi kuhusiana na  uwezekano wa kuwapa wamiliki wa runinga za Citizen, NTV na KTN Muda wa kutosha kuhama huku wakitaka  umiliki wa kampuni ya kichina ya pang uwekwe wazi.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories