Matiang’i azindua kampeni ‘Peleka watoto shuleni’

Serikali imeanzisha rasmi oparesheni maalum pwani itakayofahamika kama oparesheni peleka mwanafunzi shuleni iliyolenga wanafunzi waliokamilisha masomo ya darasa la nane na kushindwa kufululiza hadi kidato cha kwanzo. Kulingana na Matiang’i aliyekutana na viongozi na wadau wa elimu kutoka pwani, eneo ambalo limekuwa na idadi ndogo zaidi ya wanafunzi wanaojiunga na kidato cha kwanza mwaka huu.

Tags:

Fred Matiang'i Kwale County Form one reporting peleka watotot shuleni

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories