Matimbo Ya Masaibu

Familia za watu ishirini waliokamatwa kwa kukaidi amri ya kutolala kwenye matimbo huko Mandera wanasononeka kutokana na yaliyowafika watoto wao na kuitaka serikali kuingilia kati ili waachiliwe. Wanasema kuwa watu hao wanatoka kwa familia maskini na hawawezi kulipa faini ya shilingi elfu sitini ili waachiliwe.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories