Mauaji Ya Yebei

Meshack Yebei, aliyekuwa shahidi wa naibu rais William Ruto katika mahakama ya ICC, alitishiwa maisha na shahidi wa Fatou Bensouda kabla ya kifo chake. Kwa mujibu wa wakili wa Ruto, Karim Khan, Bensouda alifahamu kuhusu tisho hilo miezi kadhaa kabla ya kutoweka na kuuawa kwa Yebei.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories