Mazigazi ya Elimu: Madhila ya wanafunzi vyuoni

Kawaida huwa afueni kwa mzazi na mwanawe wanapoorodheshwa kupokea mkopo wa karo kutoka kwa serikali almaarufu HELB. Lakini je ni vipi wanafunzi waliotoka katika familia maskini wanakijimu vyuoni? Citizen TV inaangazia nafuu inayoleta karaha.

Tags:

Moi University Nairobi University Kenyatta University Maseno University madhila ya wanafunzi wa vyuo vikuu mazigazi ya elimu

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories