Maziko ya mke wa Nyachae

Viongozi kutoka jamii ya abagusii wametangaza kuendelea kuunganisha jamii hiyo kabla ya uchaguzi mkuu ujao. Kiongozi wa Ford-People, Simion Nyachae, pia ametangaza kuunga mkono hatua hiyo huku akiwarai wapiga kura wa  eneo hilo kuunga mkono serikali ya jubilee.

Magavana James Ongwae wa Kisii na John Nyagharama wa Nyamira walikuwa miongoni mwa viongozi waliohudhuria mazishi ya mkewe Nyachae.

Tags:

Nyachae

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories