Maziko ya mke wa Nyachae
Published on: September 05, 2016 09:18 (EAT)
Viongozi kutoka jamii ya abagusii wametangaza kuendelea kuunganisha jamii hiyo kabla ya uchaguzi mkuu ujao. Kiongozi wa Ford-People, Simion Nyachae, pia ametangaza kuunga mkono hatua hiyo huku akiwarai wapiga kura wa eneo hilo kuunga mkono serikali ya jubilee.
Magavana James Ongwae wa Kisii na John Nyagharama wa Nyamira walikuwa miongoni mwa viongozi waliohudhuria mazishi ya mkewe Nyachae.
Comments
No comments yet.
Leave a Comment