Mazungumzo ya kusuluhisha mgomo wa madaktari yagonga mwamba

Suala la kukwamua mgomo wa madaktari sasa liko mikononi mwa Rais Uhuru Kenyatta. Viongozi wa kidini ambao wamekuwa wakikutana na viongozi wa madaktari, baraza la magavana, waziri wa afya na tume ya kutathmini mishahara ya wafanyikazi sasa wanasema kuwa mapendekezo mbadala ya madaktari yanaweza kutekelezwa na kuwa wanakubaliana nayo. Nipashe Wikendi imebaini kuwa sasa wadau wote wanatarajiwa kufanya mkutano na rais katika awamu ya mwisho ya kujaribu kutatua suala hili.

Tags:

mgomo wa madaktari

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories