Mbunge wa Laikipia Kaskazini akamatwa
Published on: November 23, 2016 07:52 (EAT)
Mbunge wa Laikipia Mashariki Mathew Lempurkel hii leo alifikishwa mahakamani kwa kosa la kumjeruhi mbunge mteule sara korere walipokuwa katika afisi ya waziri wa Usalama wa Ndani Joseph Nkaisserry.
Mbunge huyo aliachiliwa kwa faini ya shilingi laki moja na alipokuwa akitoka mahakamani akatiwa mbaroni tena. Stephen letoo na taarifa hiyo.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment