Mbunge wa Laikipia Kaskazini atiwa korokoroni

Mbunge wa Laikipia Kaskazini Mathew Lempurkel alikamatwa na wapelelezi mapema hii leo na kupelekwa hadi kituo cha polisi cha Narumoru kaunti ya Nyeri kwa madai ya kutoa matamshi ya uchochezi .
Lempurkel anatuhumiwa kutoa matamshi hayo ya uchochezi katika mkutano wa kisiasa wa chama cha ODM uliofanyika katika mji wa muwarack laikipia kaskazini hivi majuzi.
Lempurkel atasalia korokoroni hadi jumatatu atakapofikishwa mahakamani.

Tags:

NASA Mathew Lempurkel

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories