Mchujo wa Jubilee

Kura za mchujo ya Chama cha Jubilee sasa zitafanyika katika siku mbili, kutoka siku moja iliyotarajiwa hapo awali. Kwa mujibu wa Wawakilishi wa Jubilee, hatua hii itawapa wapiga kura nafasi nzuri ya kuwachagua wagombeaji wao. Mwanahabari wetu Denis Otieno ana maelezo zaidi.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories