Mchujo wa ODM: Chama chaahirisha chaguzi hadi Jumamosi

Chama cha ODM kimeshuhudia changamoto si haba kwenye shughuli za chaguzi za mchujo katika kaunti tano, na hata kulazimika kusimamisha uchaguzi katika maeneo bunge mawili na vituo kadhaa vya kupigia kura. Baadhi ya vituo vilipokea vifaa vya kupigia kura vikiwa vimechelewa huku fujo zikishuhudiwa na uharibifu wa karatasi na masanduku ya kura.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories