Mfumo mpya wasifiwa na washikadau katika kaunti
Published on: January 03, 2018 08:03 (EAT)
Gavana wa Tharaka Nithi Muthomi Njuki ameongeza sauti yake katika mjadala wa mfumo mpya wa elimu akiwataka wakenya kukubali mabadiliko. Njuki alikuwa akizungumza alipotoa msaada wa masanduku kwa baadhi ya wanafunzi wa kaunti hiyo wanaojiunga na shule za upili.
Comments
No comments yet.
Leave a Comment