Mgomo wa madaktari

Maseneta wameapa kuandaa kikao cha washikadau kutafuta mwafaka wa mgomo wa madaktari unaoingia siku yake ya 43 hiyo kesho.

 

 

 

Baada ya kikao na maafisa wa muungano wa madaktari  (kmpdu) seneta wa Mombasa Hassan Omar na mwenzake wa Makueni Mutula Kilonzo junior, wametangaza kuleta kamati mbali mbali za seneti pamoja kuangazia mazungumzo kati ya mdaktari, wizara ya afya, na baraza la magavana

 

 

 

Haya yanajiri huku mkuu wa kanisa la kianglikana Jakson Ole Sapit akiwarai madaktari kuendeleza

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories