Mgomo wa madaktari
Published on: January 30, 2017 09:20 (EAT)
Maafisa saba wa muungano wa madaktari, al maarufu cba seven, wana hadi saa sita usiku wa leo kumaliza mgomo wao la sivyo watumikie kifungo cha mwezi mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kukaidi amri ya mahakama.
Muungano wa madaktari kmpdu imesisitiza kuwa utasindikiza saba hao mahakamani na hata gerezani, na kupiga kambi nje ya watakakofungwa wakifanya maombi ya usiku hadi kukamilika kwa kifungo chao.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment