Mgomo wa madaktari
Audio By Vocalize
Mahakama ya rufaa imeipa chama cha mawakili, na tume ya kutetea haki za kibinadamu muda wa siku saba kumaliza mazungumzo yanayonuiwa kutafuta suluhu ya mgomo wa madaktari ulioingia siku yake ya 81 hii leo.
Hii ni baada ya pande hizo kuwasilisha ripoti iliyoonyesha walikofika na mazungumzo hayo.
Haya yanajiri huku serikli ikiendelea kushikilia kuwa mkataba wa maelewano ulioafikiwa na madaktari hauwezi kuteketezwa jinsi ulivyo.

Join the Discussion
Share your perspective with the Citizen Digital community.
No comments yet
This discussion is waiting for your voice. Be the first to share your thoughts!