Mgomo wa madaktari

Mtazamaji hebu fikiria, unapoenda kuchota maji mtoni unashambuliwa na mamba kiasi cha kuvunjika mkono mara kadha, cha kutonesha kidonda ni eti madaktari wamegoma hivi basi unashindwa kupata matibabu ya haraka.

Wazazi wako wanabambanya na mishowe wanapata usaidizi wa kukupeleka katika kituo cha kibinafsi. Hata hivyo usaidizi huu unafika kuchelewa na inawalazimu madaktari kukukata mkono.

Ndio masaibu anayopitia abdulrahman abubakar kutoka tana river huku mgomo wa madaktari ukiingia siku yake ya 91 hii leo.

 

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories