Mgomo wa madaktari: Mazungumzo ya kuutafutia ufumbuzi yaendelea

Mazungumzo ya upatanisho yanayonuia kumaliza mgomo wa madaktari uliodumu kwa siku 77 sasa yaliendelea katika jumba la cvs, makao makuu ya tume ya kutetea haki za kibinaadam hapa jijini Nairobi.

Mazungumzo hayo yanayoongozwa namwenyekiti wa tume ya kupigania haki za kibinaadam kagwiria mbogori na mwakilishi wa chama cha mawakili john ohaga, hii leo yamegusia suala tata la mishahara na marupurupu, ambaki pande husika zinaripotiwa kutofautiana vikali.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories