Mgomo wa madaktari waingia siku ya 98

Maafisa wa chama cha madkatari nchini kmpdu wanatarajiwa kurejea mahakamani hapo kesho katika kesi inayonuia kumaliza mgomo wao wakati ambapo serikali imejiondoa kutoka kwa mazungumzo ya kutafuta suluhu.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories