Mgomo waingia siku ya 70

Jopo lililoteuliwa na jaji wa mahakama ya leba hellen wasilwa lingali kufanikiwa kumaliza mgomo wa madaktari ulioingia siku yake ya 70 hii leo.

 

Licha ya vikao kadhaa jopo hilo linaloongnozwa na katibu mkuu wa muungano wa wafanyikazi francis atwoli na mawakala kutoka tume ya kutetea haki za kibinaadam,  halijapiga hatua za kuonekana kutamatisha mgomo huo.

 

Atwoli sasa akilaumu vita vya ubabe kati ya waziri wa afya cleopa mailu na katibu mkuu katika wizara hiyo nicholus muraguri.

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories