Mgonjwa wa akili anayeshukiwa kumuua daktari afikishwa mahakamani

Mshukiwa wa mauaji ya aliyekuwa daktari katika zahanati ya Chiromo Lane Medical Center amefikishwa mahakamani mapema hii leo. Mshukiwa ambaye anamiliki bastola amewafanya watu wengi kuuliza swali ni vipi akaruhusiwa kumiliki bastola ilhali ni mgonjwa wa akili.

Tags:

Chiromo Lane Medical center faustine mwadilo

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories