Mheshimiwa Mchawi? Adaiwa kutumia uchawi kuwashawishi watu

Mwakilishi wa wadi ya Olusimoru Kaunti Ya Narok amejipata mashakani baada ya mpinzani wake kumshtaki akidai kuwa alitumia uchawi kushinda kiti hicho. Kesi hiyo inaendelea kusikizwa katika  mahakama ya Narok.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories