Mhudumu wa Safaricom atuzwa kwa utu wake

Je unajuwa kwamba kila unapofanya jambo lolote kuna macho yanakutizama? Ima unafanya jambo baya au zuri, na wakati mwingine matendo yako huenda yakabadili maisha yako. Mtazamaji maisha ya mhudumu mmoja wa kampuni ya safaricom Pauline Shamola tawi la Nakuru alitembelewa na wageni ambao hakuwatarajia kutokana na hisani aliyoifanya.

Tags:

Mhudumu wa safaricom mlemavu Pauline Shamola

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories