Miaka 3 ya muafaka wa amani wa Turkana na Pokot
Published on: December 30, 2017 08:59 (EAT)
Audio By Vocalize
Mamia ya watu kutoka jamii ya Wapokot na Waturkana walikongamana katika eneo la Turkwel kaunti ya Pokot Magharibi ili kusherekea miaka mitatu tangu jamii hiyo kuweka makubaliana ya kusitisha mashambulizi na wizi wa mifugo baina ya jamii hizo hasimu.


Leave a Comment