Michujo ya vyama
Published on: May 15, 2017 07:35 (EAT)
Tume ya kitaifa ya kutetea haki za kibinadamu imeandikia ofisi ya kiongozi wa mashtaka ikitaka kuzuiwa wagombezi 20 kutoshiriki uchaguzi mkuu ujao kutokana na sababu za kimaadili
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment