Mimba za Mapema Kisumu

Mmoja kati ya wasichana wawili walio chini ya umri wa mika 18 wako katika hatari ya kupachikwa mimba katika kaunti ya kisumu na kukatiza ndoto zao za kuendelea na masomo.haya ni kulingana na  ripoti iliyotolewa na shirika la plan international ambayo pia inaonyesha kwamba wasichana 3 kati ya kumi hutwika majukumu ya uzazi wakiwa na  miaka kumi na mitano.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories