Mkaguzi wa fedha amtaja waziri Mailu

Aakata ya shilingi bilioni tano katika wizara ya afya sasa imegeuka ya kurushiana lawama baada ya mkaguzi wa hesabu katika wizara hiyo Bernard Muchere kumshtumu waziri cleopa mailu kwa kufichua  ripoti.

Muchere ambaye alihojiwa na kamati ya seneti kuhusu afya amesema kuwa ripoti hiyo iliagizwa na mailu mwenyewe na hakuna yeyote mwingine aliyeipokea. aidha muchere amekanusha kuwa alichapisha ripoti hiyo bila kusubiri majibu ya maswali yake ili kuwaharibia jina maafisa wakuu katika wizara hiyo.

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories