Mkutano wa Jubilee Malindi

Chama Jubilee kimewaonya wagombea wanaochochea fujo na ghasia katika zoezi la kuwachagua  wanakamati wa bodi za uchaguzi za chama hicho kwenye kaunti tofauti kikisema kuwa wanasiasa hao watachukuliwa hatua ikiwemo kupigwa marufuku kushiriki kwenye kura za mchujo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories