Mkuu wa KNEC akashifu walimu wazembe

Kutolewa kwa matokeo ya mtihani wa kidato cha nne mwezi mmoja baada ya kumalizika kwake ni ukurasa unaoibua hisia za uwezekano wa mabadiliko katika sekta ya elimu hapa nchini.

 

Viongozi mbali mbali wakizungumza wakati wa hafla hiyo, wametilia mkazo umuhimu wa kuwajibika kwa upande wa waalimu ili kuhakikisha watahiniwa wanafuzu kwa ajili ya uwezo wao wala sio udanganyifu.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories