Mmea wenye sumu unang’oa mbuzi meno

Wazee wa jamii ya Ilchamus kutoka kaunti ya Baringo hii leo wamewasilisha malalamishi yao mbele ya afisi za chama cha mawakili wakiitaka chama hicho kiingialie kati na kuwasaidia wapate stakabadhi za kesi wanazodai zimezuiliwa na wakili mmoja tangu waliposhinda kesi .Wazee hao walikuwa wameishtaki serikali kwa kupanda mmea unaojulikana kama  Mathenge’ wakidai umewatia  hasara maishani pamoja na mifugo yao.

Tags:

Maasai LSK mbuzi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories