Msafara wa Gavana Joho wavamiwa Mpeketoni

Sokomoko ilishuhudiwa leo huku watu kadhaa wakijeruhiwa mjini Mpeketoni kaunti ya Lamu baada ya wakazi wa eneo hilo waliojawa na hasira kuvuruga mkutano wa kisiasa uliondaliwa na viongozi kadhaa kutoka katika mrengo wa NASA wakiongozwa na gavana wa Mombasa Ali Hassan Joho pamoja na mwenzake wa Kilifi Amason Kingi. huku hayo yakijiri gavana wa kaunti ya Nairobi Evans Kidero amesisitiza kuwa uteuzi wa wagombea wa muungano wa NASA utakuwa wa pamoja hapa Nairobi.

Tags:

NASA Mpeketoni Amason Kingi Hassan Joho

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories