Msando aliuawa kwa kunyongwa
Published on: August 02, 2017 08:13 (EAT)
tume ya IEBC Chris Msando umebainisha kuwa aliuawa kwa kunyongwa.
Uchunguzi huo ulioangaziwa na mpasuaji wa serikali Johansen Oduor na yule wa familia Bessie Byakika, unaashiria uwezekano wa Msando kunyongwa kwa mkono alipokuwa akiteswa na wauaji wake.
Haya yanajiri huku watu watatu wakitiwa mbaroni baada ya kupatikana na simu mbili zilizomilikiwa na afisa huyu wa IEBC
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment