Mshukiwa wa mauaji ya Kabete, apatika amekufa huko Kutus
Published on: June 03, 2017 08:09 (EAT)
Mshukiwa wa mauaji ya mkewe pamoja na wanawe watatu katika kijiji cha Muthure huko Kikuyu kaunti ya Kiambu, alipatikana amefariki hii leo mjini Kutus kaunti ya Kirinyaga.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment