Mshukiwa wa ugaidi Ismael Mohamed Shosi auawa

Polisi wa kukabiliana na ugaidi hii leo wamemuua mshukiwa mkuu wa ugaidi Ismael Mohamed Shosi katika eneo la Kisauni kaunti ya Mombasa. Shosi ambaye serikali ilikuwa imetoa kitita cha Ksh. 2M kwa yeyote ambaye angetoa ripoti kuhusu alikojificha aliuawa katika makabiliano makali na polisi katika boma la mjane wa mshukiwa wa ugaidi aliyeuawa mwaka wa 2013.

Tags:

Ismael Mohamed Shosi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories