Mswaki wa Turkana

Wakazi wa Turkana wamekataa kutumia mswaki na dawa ya meno inayouzwa madukani na badala yake wanaendelea kuuenzi mswaki wa matawi ya mti ujulikanao kama Esekon. Wanaamini kuwa mti huo una dawa ambayo husafisha meno na kuyafanya yawe imara.

Tags:

turkana Mshwaki

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories