Mtoto aliyeibiwa Nairobi apatikana Uganda

Mtoto mwenye umri wa miaka miwili unusu aliyekuwa ameibwa na mfanyakazi wa nyumbani katika mtaa wa Imara Daima hapa jijini Nairobi amepatikana nchini Uganda na kupelekwa katika kituo cha polisi cha Busia. Wazazi wa mtoto huyo walionyesha furaha yao kwa kumpata mwana wao akiwa salama kama anavyotueleza Asasha Elizabeth.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories