Mtoto wa wiki mbili aokolewa kutoka kwenye shimo la choo

Mtoto mchanga mwenye umri wa majuma mawili ameokoloewa kutoka chooni katika kichinjio cha Bobong katika eneo la Narok baada kutupwa na mamake katika choo hiyo huku akiwa amefungwa nguo za kubana shingoni.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories