Mtu aliyefumaniwa akilala na maiti achomwa
Published on: February 27, 2017 09:33 (EAT)
Audio By Vocalize
Mwanamume mmoja wa umri wa makamo amepigwa na kuuawa na wenyeji wa kijiji cha Kiwanja Ndege kaunti ndogo ya Kuresoi kaskazini baada ya kufumaniwa akishiriki tendo la ngono na maiti ya bintiye mwenye umri wa miaka kumi na tano.


Leave a Comment