Mtu mmoja afariki wakati wa maandamano Nandi

Mtu mmoja amefariki wakati wa mgomo wa wafanyakazi   wa majani chai eneo la nandi hills kaunti ya nandi   hapo jana ,umesababisha hasara kubwa baada ya shamba la majani chai kuchomwa moto. Inadaiwa wafanyakazi hawa  walitakata   nyongeza   ya asilimia  thelathini ya marupurupu yao,

 

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories