Mtuhumiwa wa wizi amechomwa hadi kufa na wakaazi wa kijiji cha Salawa kaunti ya Baringo

Mtuhumiwa wa wizi amechomwa hadi kufa na wakaazi wa kijiji cha Salawa kaunti ya Baringo. Vincent Komen alikuwa miongoni mwa wafungwa elfu 7,000 walioachiliwa huru na Rais Uhuru Kenyatta wakati wa sikukuu ya Mashujaa.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories