Muhoro ahojiwa na wabunge kuhusu ufujaji wa hazina ya vijana

Serikali imesitisha uuzaji wa nyumba iliyogharimu zaidi ya milioni 48 zinazodhaniwa kuibwa kutoka kwa hazina ya vijana yapata miaka miwili iliyopita. Mkurugenzi wa shirika la upelelezi Ndegwa Muhoro ameiambia kamati ya bunge kuwa watu kadhaa wakiwemo maafisa wakuu wa zamani wa hazina ya vijana Bruce Odhiambo na Catherine Namuye wangali wanakabiliwa na kesi mahakamani akisema changamoto za kisheria ndizo zinazochelewesha kukamilika kwa kesi hizo.

Tags:

Bruce Odhiambo Ndegwa Muhoro Hazina ya vijana

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories