Mutahi Kahiga ataapishwa Jumatatu kuwa gavana wa nne wa Nyeri

Huku matayarisho ya mazishi ya gavana wa tatu wa Kaunti ya Nyeri Wahome Gakuru yakiendelea, gavana wa nne atakayechukua nafasi yake anatarajiwa kuapishwa Jumatatu.

Tags:

nyeri Wahome Gakuru Mutahi Kahiga

Trending now

    latest stories