Muungano wa NASA wapeleka kampeni zake Vihiga

Wana NASA hii leo wamewarai wapiga kura magharibi mwa Kenya kuhakikisha wanapigia upinzani kwa pamoja ili kutwaa ushindi. Aidha walilalamika kuwa  katika uchaguzi uliopita viongozi wa eneo hilo walikuwa wamegawanyika.

Tags:

raila odinga NASA Vihiga

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories