Mwakilishi wa wadi aliyetekwa nyara Migori apatikana Rongo

Mwakilishi wa wodi ya Kapuonja Paul Odhiambo ameomba serikali kumpa ulinzi kwa sababu anahofia maisha yake. Odhiambo alitekwa nyara siku ya Alhamisi na kupatikana jana usiku katika eneo la Rongo.

Tags:

Migori kisumu rongo Paul Odhiambo

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories