Mwalimu adimu anayefunza kutoka kitandani pake

Mwalimu mmoja mlemavu wa miguu angali anatia bidii katika kazi yake licha ya kuwa hawezi kutembea. Anajikakamua na kuwafunza watoto akiwa kitandani jijini Dar Es Salaam Tanzania.

Tags:

Tanzania Dar es Salaam

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories